Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 17 Sitting 4 Community Development, Gender and Children Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum 63 2024-11-01

Name

Abeid Ighondo Ramadhani

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Singida Kaskazini

Primary Question

MHE. ABEID R. IGHONDO aliuliza:-

Je, kuna mpango gani wa kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja?

Name

Mwanaidi Ali Khamis

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM aljibu:-

Mheshimiwa Spika, Kifungu cha 154 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura Na. 16 ya Sheria za Tanzania kinatamka bayana kuwa, vitendo vya mapenzi ya jinsia moja au mahusiano kinyume na maumbile, iwe faragha au kwa makubaliano ni kosa la jinai. Aidha, Kifungu cha 155 cha sheria hiyo, kinaweka adhabu kwa kosa la kujaribu kufanya vitendo vinavyokatazwa chini ya Kifungu cha 154. Hivyo, tutaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi na Mahakama katika kusimamia utekelezaji wa Kifungu cha 154 na 55 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu Sura ya 16. Ahsante.