Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 18 Sitting 8 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 137 2025-02-06

Name

Dr. Christina Christopher Mnzava

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. DKT. CHRISTINA C. MNZAVA aliuliza:-

Je, lini ujenzi wa Barabara ya Old Shinyanga hadi Solwa utaanza?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, kazi ya ujenzi wa Barabara ya Old Shinyanga hadi Solwa yenye urefu wa kilometa 64.7 imeanza kwa awamu kulingana na upatikanaji wa fedha. Katika eneo la Solwa, kipande chenye urefu wa mita 400 kimejengwa na kukamilika mwezi Agosti, 2024. Kwa sehemu iliyobaki, Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kuendelea na ujenzi, ahsante.