Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 18 Sitting 9 Information, Communication and Information Technology Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari 154 2025-02-07

Name

Jonas William Mbunda

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Mbinga Mjini

Primary Question

MHE. JONAS W. MBUNDA aliuliza: -

Je, lini Serikali itajenga minara ya simu katika Kata za Kikolo na Kagugu - Mbinga Mjini?

Name

Maryprisca Winfred Mahundi

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) itafanya tathmini katika kata hizi mbili za Kikolo na Kagugu ili kubaini maeneo yenye changamoto na kutambua mahitaji halisi ya huduma za mawasiliano ili tuweze kuyaingiza maeneo hayo katika zabuni za miradi inayofuata ya mawasiliano kulingana na upatikanaji wa fedha.