Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 10 Energy and Minerals Wizara ya Nishat 121 2025-04-23

Name

Agnes Elias Hokororo

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. AGNES E. HOKORORO aliuliza:-

Je, lini Mkoa wa Mtwara utaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa?

Name

Judith Salvio Kapinga

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Answer

NAIBU WAZIRI WA NISHATI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, Mkoa wa Mtwara utaunganishwa kwenye Gridi ya Taifa mwezi Septemba, 2026 mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Mahumbika kupitia Tunduru na Masasi. Ahsante.