Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2023 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Hon. Dr. Thea Medard Ntara

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Contributions

nil

Answers

nil

Commettees

2

Ministries

nil

Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2023 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

MHE. DKT. THEA M. NTARA: Mheshimiwa Spika, wakati Wabunge tunachangia hoja ni nyingi hata hivyo mara nyingi hoja za msingi hazijibiwi. Waziri anasema hoja nyingine nitajibu kwa maandishi, lakini hakuna majibu tunayoletewa. Mfano hoja ya matrekta na mikopo vijijini Mheshimiwa Bashe alijibu vizuri na vijiji wanasubiri matrekta na mikopo. Sasa hoja yangu ya kuboresha mishahara na marupurupu ya Makamu Mkuu wa Vyuo Vikuu yatafanyika lini? Vyuo Vikuu Vishiriki vya Mkoa wa Ruvuma wasaidiwe vianze kuonesha maendeleo yake hasa ujenzi.

Mheshimiwa Spika, Wizara ya TAMISEMI ije baada ya Maji, Elimu, Ardhi na Afya kwa sababu hizo Wizara hoja zake nyingi TAMISEMI inaweza kuzijumuisha na kuona namna ya kuzi-contain.