Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Urambo
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
1
Ministries
nil
MHE. MARGARET S. SITTA: Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kwanza kumshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya katika sekta ya maji.
Mheshimiwa Mwenyekiti, pili nikupongeze wewe kwa kazi unayoifanya.
Mheshimiwa Mwenyekiti, ombi; naomba mradi wa Ziwa Victoria kuja Urambo ukamilike na pia naomba Bwawa la Karemera likamilike.