Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
1
Ministries
nil
MHE. MWANTUMU M. ZODO: Mheshimiwa Spika, nampongeza sana Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kampeni yake kabambe ya nishati safi ya gesi.
Mheshimiwa Spika, kupitia hamasa hii ya Mheshimiwa Rais, naomba niishauri Serikali yangu sikivu kuendelea kuongea na wadau kushusha bei ya gesi ili kila Mtanzania aweze kutumia nishati safi ya gesi.
Mheshimiwa Spika, pia, naishauri Serikali kuendelea kutoa elimu ya matumizi ya makaa ya mawe ili kuendelea kutunza mazingira yetu na kulinda afya za Watanzania kwa ujumla.