Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Contributions
nil
Answers
nil
Commettees
1
Ministries
nil
MHE. MWANTUMU M. ZODO: Mheshimiwa Naibu Spika, nachukua fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha mazingara mazuri zaidi ya kujifunzia ili kuwaandaa Watanzania kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa. Napongeza pia kwa kuanzishwa shule za amali kila mkoa ambazo zinakwenda kuwa mkombozi wa ajira hapo baadaye.
Mheshimiwa Naibu Spika, ushauri wangu kwa Wizara ni kama ifuatavyo:-
Kwanza Wizara ipeleke wataalamu wa fani mbalimbali kama kilimo, ushonaji, ujasiriamali na fani nyingine ambazo zitawaandaa wanafunzi kujiajiri na siyo kusubir ajira.
Pili, wanafunzi wajifunze zaidi kwa vitendo