Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 14 | Sitting 1 | Union Affairs | Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano | 8 | 2024-01-30 |
Name
Omar Ali Omar
Sex
Male
Party
ACT
Constituent
Wete
Primary Question
MHE. OMAR ALI OMAR aliuliza:¬-
Je, lini Serikali itajenga ukuta wa Ikulu Ndogo ya Muungano Pemba?
Name
Khamis Hamza Khamis
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Uzini
Answer
NAIBU WAZIRI, OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA alijibu:-
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Omar Ali Omar, Mbunge wa Jimbo la Wete, kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Spika, Serikali imeshaandaa mipango mahususi ya kutekeleza suala hilo ambapo tathmini ya kitaalamu ya kina imefanyika ili kupata gharama za ukarabati wa Jengo la Ikulu ndogo ya Muungano Pemba ikiwa ni pamoja na ujenzi wa ukuta. Aidha, inategemewa kuwa, utekelezaji utaanza katika mwaka wa fedha 2024/2025, nakushukuru.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved