Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 15 | Sitting 2 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 24 | 2024-04-03 |
Name
Shamsia Aziz Mtamba
Sex
Female
Party
CUF
Constituent
Mtwara Vijijini
Primary Question
MHE. SHAMSIA A. MTAMBA aliuliza:-
Je, Serikali ina mpango gani wa kufanya zao la muhogo kuwa moja ya zao la kimkakati katika Mikoa ya Kusini?
Name
Eng. Hamad Yussuf Masauni
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kikwajuni
Answer
NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI K.n.y. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Shamsia Azizi Mtamba, Mbunge wa Mtwara Vijijini, kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Spika, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imeshatoa eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 11,100 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja C eneo la Mkunwa. Ramani na mchoro wa kituo umeshakamilika na kiasi cha shilingi 300,265,723 zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho. Fedha hizo zinatarajiwa kutengwa kwenye bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026. Ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved