Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 45 Justice and Constitutional Affairs Wizara ya Katiba na Sheria 589 2024-06-11

Name

Kavejuru Eliadory Felix

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Buhigwe

Primary Question

MHE. KAVEJURU E. FELIX aliuliza:-

Je, ni lini Serikali itajenga Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe ili wananchi waweze kupata huduma?

Name

Sagini Jumanne Abdallah

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Butiama

Answer

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA alijibu:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, Mahakama ya Wilaya ya Buhigwe ni miongoni mwa mahakama 18 za wilaya zilizojengwa na Serikali katika mwaka wa fedha 2022/2023. Ujenzi wa mahakama hiyo umekamilika na wananchi wanaendelea kupata huduma za kimahakama katika Mahakama hiyo tangu mwaka 2023, nashukuru.