Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 15 | Sitting 46 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 602 | 2024-06-12 |
Name
Francis Isack Mtinga
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Iramba Mashariki
Primary Question
MHE. FRANCIS I. MTINGA aliuliza: -
Je, ni lini Serikali itakamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Nduguti kwa kuwa ujenzi wake umesimama kwa muda mrefu sasa?
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, Kituo cha Polisi Nduguti ni Kituo cha Wilaya ya Mkalama kilichoanza kujengwa mnamo mwaka 2015 na kukamilika mwaka 2023 na kuzinduliwa na kwa sasa kinahudumia wananchi wa Mkalama, ahsante sana.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved