Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 16 | Sitting 1 | Works and Transport | Wizara ya Uchukuzi | 8 | 2024-08-27 |
Name
Ally Mohamed Kassinge
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kilwa Kusini
Primary Question
MHE. ALLY M. KASSINGE aliuliza:-
Je, lini Serikali italipa fidia kwa wananchi 447 wanaopisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kilwa Masoko?
Name
David Mwakiposa Kihenzile
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mufindi Kusini
Answer
NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI alijibu: -
Mheshimiwa Spika, Serikali imetenga fedha katika bajeti ya mwaka huu wa fedha 2024/2025 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi 447 wanaopisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kilwa Masoko. Taratibu za maandalizi ya malipo haya zinaendelea na pindi zitakapokamilika malipo haya yataanza kulipwa mara moja.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved