Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 6 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 105 | 2024-11-05 |
Name
Omari Mohamed Kigua
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kilindi
Primary Question
MHE. OMARI M. KIGUA aliuliza: -
Je, lini Serikali itajenga Kituo cha Polisi katika Jimbo la Kilindi?
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imekwishatenga fedha kwa ajili ya kujenga Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Kilindi kutoka kwenye bajeti ya Mfuko wa Tuzo na Tozo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Kiasi cha fedha shilingi milioni 800 zitatumika katika kukamilisha ujenzi huo. Maandalizi ya ujenzi yanaendelea na kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zimekwishakutolewa, ahsante. (Makofi)
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved