Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 15 | Sitting 45 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Wizara ya Kilimo | 585 | 2024-06-11 |
Name
Anatropia Lwehikila Theonest
Sex
Female
Party
CHADEMA
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. ANATROPIA L. THEONEST aliuliza: -
Je, kampuni gani zilishiriki ununuzi wa kahawa Mkoani Kagera kwa mwaka 2023?
Name
David Ernest Silinde
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tunduma
Answer
NAIBU WAZIRI WA KILIMO alijibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, ahsante sana, katika msimu wa masoko ya kahawa wa 2023/2024, jumla ya kampuni 23 na Vyama vya Ushirika vitatu vilishiriki kwenye ununuzi wa kahawa ya maganda (dry cherry) na kahawa maalum (certified coffee) katika Mkoa wa Kagera.
Mheshimiwa Mwenyekiti, wanunuzi wa kahawa ya maganda (dry cherry) walikuwa ni Tanin Global Limited, Blue Effort, Nkuban International Company Limited, Amri Amir Al-Habssy, Karagwe Estate Limited, Source of the Nile Commodities Limited, Kyejus Coffee Company Limited, KCU Limited, Kongeru Tanzania Limited, Ubumwe Crops Company Limited, Zuraja Trading Company Limited, Tanzania Quality Coffee Limited, J.K Supplies and Consultancy Company, Megnacio Company, OTM Trading Company Limited, Mweru and J Coffee, Shayakye Trading Company Limited, Izigo Coffee Limited, Jocta International, Azania Fresh Food Industry Limited, Johansen Company Limited na Atadals Group Limited.
Mheshimiwa Mwenyekiti, kampuni zilizoshiriki ununuzi wa kahawa maalumu (certified coffee) ni Kaderes Peasants Development Plc, Karagwe Estate Limited, KCU Limited, pamoja na Vyama vya Ushirika vya Juhudi AMCOS, Nkwenda AMCOS na Mkombozi AMCOS.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved