Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 9 | Sitting 4 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Waziri wa Mifugo na Uvuvi | 54 | 2022-11-04 |
Name
Ally Mohamed Kassinge
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kilwa Kusini
Primary Question
MHE. ALLY M. KASSINGE aliuliza: -
Je, ni lini Serikali itaanza mchakato wa ujenzi wa Bandari ya Uvuvi katika Mji wa Kilwa Masoko?
Name
Abdallah Hamis Ulega
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mkuranga
Answer
NAIBU WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI alijibu: -
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Ally Mohamed Kassinge Mbunge wa Kilwa Kusini, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, Serikali imeshaanza ujenzi wa Bandari ya Uvuvi katika eneo la Kilwa Masoko Mkoani Lindi. Mkataba wa ujenzi wa Bandari hiyo ulisainiwa tarehe 07 Juni, 2022 kati ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Mkandarasi ambaye ni Kampuni ya M/S China Harbour Engineering. Aidha, maandalizi ya awali ya ujenzi wa Bandari hiyo yameanza na ujenzi unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24. Ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2024. All Rights Reserved