Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 7 Sitting 27 Home Affairs Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 236 2022-05-20

Name

Nashon William Bidyanguze

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kigoma Kusini

Primary Question

MHE. NASHON W. BIDYANGUZE aliuliza:-

Je, ni lini Serikali itajenga Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Uvinza?

Name

Sagini Jumanne Abdallah

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Butiama

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Nashon William Bidyanguze, Mbunge wa Kigoma Kusini, kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali itaanza kujenga Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Uvinza katika eneo la Lugufu baada ya eneo hilo kupimwa na kupata hati.

Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru.