Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Supplementary Questions

Name

Shamsia Aziz Mtamba

Sex

Female

Party

CUF

Constituent

Mtwara Vijijini

Primary Question

MHE. SHAMSIA A. MTAMBA aliuliza: - Je, Serikali ina mpango gani wa kufanya zao la muhogo kuwa moja ya zao la kimkakati katika Mikoa ya Kusini?

Supplementary Question 1

MHE. SHAMSIA A. MTAMBA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru na nina swali moja la nyongeza.

Mheshimiwa Spika, kutokana na Jimbo la Mtwara Vijijini kupakana na Nchi jirani ya Msumbiji; je, Serikali haioni haja sasa ya kujenga Kituo cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuleta tija kwa wananchi wa Jimbo langu la Mtwara Vijijini?

Name

Geophrey Mizengo Pinda

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kavuu

Answer

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI K.n.y. WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI: Mheshimiwa Spika, kwa kuwa mchoro wa awali uliotayarishwa upo katika level hiyo niliyoitaja, wazo lake linachukuliwa na tutakwenda kulifanyia kazi.