Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Name
Vincent Paul Mbogo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Nkasi Kusini
Primary Question
MHE. VINCENT P. MBOGO aliuliza:- Je, ni lini Serikali itaweka wavu maeneo ambayo wananchi wanapoteza maisha kwa kuliwa na Mamba wanapofuata maji katika Ziwa Tanganyika?
Supplementary Question 1
MHE. VINCENT P. MBOGO: Mheshimiwa Naibu Spika, ahsante kwa kunipa nafasi, nina swali la nyongeza. Je, Mheshimiwa Waziri yuko tayari kwenda kujenga vizimba vya mfano hasa maeneo hatarishi katika Kata ya Wampembe katika Kijiji cha Izinga?
Name
Dunstan Luka Kitandula
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Mkinga
Answer
NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII: Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali iko tayari kwenda kutimiza jukumu hilo kwa kadri ya upatikanaji wa fedha.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved