Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 13 | Sitting 1 | Foreign Affairs and International Cooperation | Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki | 6 | 2023-10-31 |
Name
Ali Juma Mohamed
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Shaurimoyo
Primary Question
MHE. ALI JUMA MOHAMED aliuliza: -
Je, kuna nchi ngapi zimefungua Ofisi Ndogo za Ubalozi Zanzibar?
Name
Amber. Mbarouk Nassor Mbarouk
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Nominated
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE (MHE. BALOZI MBAROUK NASSOR MBAROUK): Mheshimiwa Spika, ahsante sana, kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Ali Juma Mohamed, Mbunge wa Shaurimoyo, kama ifuatavyo: -
Mheshimiwa Spika, hadi kufikia mwezi Agosti, 2023 jumla ya nchi tano zimefungua Ofisi Ndogo za Ubalozi (Konseli Kuu) Zanzibar. Nchi hizo ni; China, India, Msumbiji, Oman na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ahsante sana.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved