Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 13 Sitting 4 Information, Communication and Information Technology Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari 51 2023-11-03

Name

Edward Olelekaita Kisau

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Kiteto

Primary Question

MHE. EDWARD O. KISAU aliuliza: -

Je, lini Serikali itajenga Mnara wa TBC – Kiteto?

Name

Kundo Andrea Mathew

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Bariadi

Answer

NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI alijibu: -

Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari napenda kujibu swali la Mheshimiwa Edward Kisau Olelekaita, Mbunge wa Kiteto kama ifuatavyo: -

Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali imepanga kujenga mnara wa redio Wilayani Kiteto katika mwaka huu wa fedha 2023/2024 na ujenzi huo unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Februari, 2024, ahsante.