Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 13 Sitting 4 Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives Wizara ya Kilimo 52 2023-11-03

Name

Atupele Fredy Mwakibete

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Busokelo

Primary Question

MHE. ATUPELE F. MWAKIBE aliuliza: -

Je, lini Mkataba wa Ujenzi wa Barabara ya Katumba – Mbambo hadi Tukuyu utasainiwa kwa kuwa Mkandarasi alishapatikana?

Name

David Ernest Silinde

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Tunduma

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -

Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Atupele Fredy Mwakibete, Mbunge wa Busokelo kama ifuatavyo: -

Mheshimiwa Mwenyekiti, taratibu za manunuzi ya mkandarasi kwa ajili ya ujenzi kwa kiwango cha lami kwa sehemu ya Barabara ya Katumba Lupaso (km 35.3) na Kibanja Tukuyu (km 20.7) zimekamilika, hatua inayofuata ni kumkabidhi mkandarasi eneo la kazi (signing), ahsante.