Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 15 Sitting 18 Home Affairs Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi 232 2024-05-03

Name

Bakar Hamad Bakar

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

House of Representatives

Primary Question

MHE. BAKAR HAMAD BAKAR aliuliza: -

Je, lini vyombo vya usafiri vilivyosajiliwa Zanzibar vitatambuliwa Tanzania Bara?

Name

Daniel Baran Sillo

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Babati Vijijini

Answer

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI alijibu:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali ipo katika hatua ya Marekebisho ya kifungu cha nane cha Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168, ambacho kinazungumzia usajili wa vyombo vya moto hapa nchini.

Mheshimiwa Mwenyekiti, baada ya kupokea maoni ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, mapendekezo haya yatawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa hatua zaidi.