Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 6 | Home Affairs | Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi | 104 | 2024-11-05 |
Name
Athumani Almas Maige
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Tabora Kaskazini
Primary Question
MHE. ATHUMAN A. MAIGE aliuliza: -
Je, lini Muswada wa Sheria ya Sekta Binafsi ya Ulinzi utaletwa Bungeni kwa kuwa kampuni binafsi za ulinzi zilianzishwa bila sheria wala kanuni?
Name
Daniel Baran Sillo
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Babati Vijijini
Answer
NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI ajliibu: -
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali inatambua umuhimu wa kuwepo kwa sheria inayosimamia kampuni binafsi za ulinzi. Maoni ya wadau wa pande zote mbili za Muungano yamepokelewa na yanafanyiwa kazi kwa kina na mara yatakapokamilishwa muswada wa sheria utawasilishwa Bungeni, ahsante sana.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved