Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 15 | Sitting 21 | Information, Communication and Information Technology | Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari | 285 | 2024-05-08 |
Name
Asia Abdulkarim Halamga
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. ASIA A. HALAMGA aliuliza:-
Je, lini Serikali itapeleka huduma ya Mawasiliano Kata ya Simbay - Hanang’?
Name
Maryprisca Winfred Mahundi
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Answer
NAIBU WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI alijibu:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, napenda kujibu swali la Mheshimiwa Asia Halamga, kama ifuatavyo:-
Mheshimiwa Mwenyekiti, Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeainisha changamoto ya mawasiliano katika Kata ya Simbay (Kijiji cha Simbay) na utekelezaji wa mradi huu utafanyika kwa kadri ya fedha zitakapopatikana. Ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved