Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 17 | Sitting 4 | Health and Social Welfare | Wizara ya Afya | 55 | 2024-11-01 |
Name
Nancy Hassan Nyalusi
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. NANCY H. NYALUSI aliuliza:-
Je, lini Serikali itapeleka mtaji MSD?
Name
Dr. Godwin Oloyce Mollel
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Siha
Answer
NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu:-
Mheshimiwa Spika, hadi kufikia mwezi Oktoba, 2024 Serikali imekwishatoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 100 kama mtaji kwa Bohari ya Dawa (MSD) kati ya shilingi bilioni 561.5 iliyopangwa kutolewa. Serikali itaendelea kutoa fedha hizi kwa awamu kulingana na upatikanaji wake. Naomba kuwasilisha.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved