Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 17 Sitting 8 Regional Administration and Local Government Authorities Ofisi ya Rais TAMISEMI. 124 2024-11-07

Name

Minza Simon Mjika

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. MINZA S. MJIKA aliuliza:-

Je, lini Serikali itajenga zahanati katika Kata ya Binza – Maswa?

Name

Dr. Festo John Dugange

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Wanging'ombe

Answer

NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu:-
Mheshimiwa Naibu Spika, wananchi wa Kata ya Binza wameanza ujenzi wa zahanati katika Kijiji cha Matarambuli. Aidha, halmashauri inaendelea kuhamasisha wananchi wa Kata ya Binza kuendelea na ujenzi mpaka hatua ya boma na Serikali itatenga fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa zahanati hiyo. Ahsante.