Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 18 Sitting 4 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 62 2025-01-31

Name

Godwin Emmanuel Kunambi

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Mlimba

Primary Question

MHE. GODWIN E. KUNAMBI aliuliza: -

Je, lini Serikali itakamilisha ujenzi wa gati katika Mto Mnyela, kuunganisha Halmashauri ya Mlimba kupitia vijiji vya Ngalimila na Ngombi?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, Wizara kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa maegesho ya kivuko eneo la Kikove – Ngoheranga ili kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba na Malinyi kupitia vijiji vya Ngalimila na Ngombi ambapo ujenzi wa mradi huu ulianza tarehe 11 Desemba, 2024 na unatarajiwa kukamilika tarehe 30 Septemba, 2025. Ahsante.