Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 18 Sitting 1 Health and Social Welfare Wizara ya Afya 13 2025-01-28

Name

Husna Juma Sekiboko

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. RASHID A. SHANGAZI K.n.y. MHE. HUSNA J. SEKIBOKO aliuliza: -

Je, upi uwiano wa madaktari na wagonjwa nchini?

Name

Stanslaus Haroon Nyongo

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Maswa Mashariki

Answer

NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI k.n.y. WAZIRI WA AFYA alijibu:-

Mheshimiwa Spika, kwa sasa hapa nchini uwiano wa madaktari na wagonjwa ni madaktari 8.4 kwa kila watu 10,000. Uwiano huu ni sawa na theluthi moja ya viwango vilivyopendekezwa na Shirika la Afya Duniani kwa nchi zinazoendelea ambapo inapendekezwa uwepo wa uwiano wa Madaktari 22.8 kwa kila watu 10,000. Aidha kwa nchi zilizoendelea uwiano ni Madaktari 2.4 kwa watu 1000.

Mheshimiwa Spika, ninaomba kuwasilisha.