Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 18 Sitting 7 Works and Transport Wizara ya Ujenzi 121 2025-02-05

Name

Jacqueline Kandidus Ngonyani (Msongozi)

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. JACQUELINE N. MSONGOZI aliuliza:-

Je, lini wananchi wa vijiji vya pembezoni mwa barabara ya Lumecha – Londo – Mpepo Morogoro watalipwa fidia?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa barabara ya Lumecha – Londo – Kilosa kwa Mpepo. Sambamba na hilo, Serikali pia inatafuta fedha kwa ajili ya fidia kwa wananchi wote wanaostahili kulipwa fidia kwa Mujibu wa Sheria, ahsante.