Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 3 Regional Administration and Local Government Authorities Ofisi ya Rais TAMISEMI. 31 2025-04-10

Name

Eng. Stella Martin Manyanya

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Nyasa

Primary Question

MHE. CONDESTER M. SICHALWE K.n.y. MHE. ENG. STELLA M. MANYANYA aliuliza:-

Je, lini ahadi ya Serikali ya kujenga wodi, Kituo cha Afya Kihagara itatekelezwa ili kuondoa changamoto kubwa iliyopo?

Name

Dr. Festo John Dugange

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Wanging'ombe

Answer

NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. DKT. FESTO J. DUGANGE) alijibu: -

Mheshimiwa Naibu Spika, Serikali inatambua umuhimu na uhitaji wa ujenzi wa wodi katika kituo cha Afya Kihagara kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa. Katika mipango ya mwaka wa fedha 2026/2027, Serikali itatenga shilingi milioni 200, kwa ajili ya ujenzi wa wodi tatu (watoto, wanawake na wananume) katika Kituo cha Afya Kihagara. Ahsante.