Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 7 Energy and Minerals Wizara ya Nishat 88 2025-04-16

Name

Iddi Kassim Iddi

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Msalala

Primary Question

MHE. SANTIEL E. KIRUMBA K.n.y. MHE. IDDI K. IDDI aliuliza: -
Je, Serikali ina mpango gani wa kuwaunganishia umeme wateja waliolipia kabla ya mabadiliko ya bei katika Halmashauri ya Msalala?

Name

Doto Mashaka Biteko

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Bukombe

Answer

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII K.n.y. WAZIRI WA NISHATI alijibu: -

Mheshimiwa Spika, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kupeleka umeme vijijini na sasa inaendelea na kupeleka umeme vitongojini ambapo katika maeneo haya wananchi wanaunganishiwa umeme kwa gharama ya shilingi 27,000.