Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 10 Regional Administration and Local Government Authorities Ofisi ya Rais TAMISEMI. 119 2025-04-23

Name

Emmanuel Lekishon Shangai

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ngorongoro

Primary Question

MHE. EMMANUEL L. SHANGAI aliuliza:-

Je, lini Serikali itatenga fedha za ujenzi wa Daraja la Mto Juhe, Kata ya Samunge?

Name

Zainab Athuman Katimba

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Answer

NAIBU WAZIRI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (MHE. ZAINAB A. KATIMBA) alijibu:-

Mheshimiwa Spika, Serikali imeliweka Daraja la Mto Juhe kwenye mpango wa madaraja yatakayofanyiwa usanifu kuanzia Mwaka wa Fedha 2025/2026, ambapo shilingi 114,890,000 zinatarajiwa kutumika katika kufanya usanifu.

Mheshimiwa Spika, Serikali itaendelea kuihudumia miundombinu ya barabara na madaraja Ngorongoro kwa kujenga, kukarabati na kufanya matengenezo ya miundombinu hiyo kulingana na upatikanaji wa fedha.