Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 19 | Sitting 10 | Livestock , Fisheries, Agriculture, Food Security and Cooperatives | Waziri wa Mifugo na Uvuvi | 126 | 2025-04-23 |
Name
Naghenjwa Livingstone Kaboyoka
Sex
Female
Party
CHADEMA
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. CECILIA D. PARESSO K.n.y. MHE. NAGHENJWA L. KABOYOKA aliuliza:-
Je, kwa nini Mabwawa ya Samaki yaliyopo Kata ya Kalemawe – Same yasikabidhiwe kwa wananchi wa Kata hiyo?
Name
Dr. Ashatu Kachwamba Kijaji
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Kondoa
Answer
NAIBU WAZIRI WA KILIMO K.n.y. WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, ahsante sana. Mradi wa Mabwawa ya Samaki yaliyopo Kata ya Kalemawe yapo chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Same. Aidha, Wizara itashirikiana na Halmashauri ya Same ili kuona namna bora ya usimamizi wa matumizi ya mabwawa hayo, ili ikiwezekana yakabidhiwe kwa wananchi wa Kata ya Kalemawe ili yaweze kuwanufaisha kiuchumi.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved