Bunge la Tanzania
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Term | Session | Sitting | Sector | Ministry | Qn No | Date |
---|---|---|---|---|---|---|
2020-2025 | Session 19 | Sitting 13 | Finance | Wizara ya Fedha | 160 | 2025-04-28 |
Name
Oliver Daniel Semuguruka
Sex
Female
Party
CCM
Constituent
Special Seats
Primary Question
MHE. OLIVER D. SEMUGURUKA aliuliza:-
Je, kuna mpango gani wa kuanza ujenzi wa Kituo cha Forodha Kijiji Mukikoro Kata ya Mugoma – Ngara?
Name
Hamad Hassan Chande
Sex
Male
Party
CCM
Constituent
Kojani
Answer
NAIBU WAZIRI WA FEDHA alijibu:-
Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha ujao wa 2025/2026, Serikali ina mpango wa kujenga jumla ya vituo sita vya forodha mipakani na imekwishakutenga jumla ya shilingi bilioni 1.1. Kati ya vituo hivyo Kituo cha Forodha Mugoma - Ngara kitajengwa maeneo ya Mugoma, katika Wilaya ya Ngara, mpakani mwa Tanzania na nchi ya Burundi, ahsante.
Copyright © Bunge Polis 2025. All Rights Reserved