Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 19 Sitting 22 Health and Social Welfare Wizara ya Afya 286 2025-05-12

Name

Mwantatu Mbarak Khamis

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

House of Representatives

Primary Question

MHE. DKT. THEA M. NTARA K.n.y. MHE. MWANTATU MBARAK KHAMIS aliuliza:-

Je, kwa kiasi gani huduma za utengamao zinazotolewa na Wizara ya Afya zinasaidia watu wenye ulemavu kumudu maisha na kuleta maendeleo?

Name

Dr. Godwin Oloyce Mollel

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Siha

Answer

NAIBU WAZIRI WA AFYA alijibu:-

Mheshimiwa Mwenyekiti, tiba za utengamao (rehabilitation) ni muhimu kwa watu wenye ulemavu, kwani zinawasaidia kurejesha au kuboresha uwezo wao wa kujitegemea, kuishi kwa furaha na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii.

Mheshimiwa Mwenyekiti, ninaomba kuwasilisha.