Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Primary Question

Term Session Sitting Sector Ministry Qn No Date
2020-2025 Session 7 Sitting 29 Works and Transport Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi 253 2022-05-24

Name

Mwantumu Mzamili Zodo

Sex

Female

Party

CCM

Constituent

Special Seats

Primary Question

MHE. MWANTUMU M. ZODO aliuliza:-

Je, ni lini Serikali itaanza ujenzi wa Daraja la Bweni Wilayani Pangani?

Name

Eng. Godfrey Msongwe Kasekenya

Sex

Male

Party

CCM

Constituent

Ileje

Answer

NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI alijibu:-

Mheshimiwa Naibu Spika, kwa niaba ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mwantumu Mzamili Zodo, Mbunge Viti Maalum, kama ifuatavyo:-

Mheshimiwa Naibu Spika, tararibu za manunuzi kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Pangani katika Mto Pangani litakalounganisha Vijiji vya Bweni na Pangani lenye urefu wa meta 525 ziko katika hatua za mwisho kwa ajili ya kusaini mkataba.

Mheshimiwa Naibu Spika, ahsante.